Aljebra

Kutoka testwiki
Pitio kulingana na tarehe 22:49, 17 Agosti 2024 na imported>InternetArchiveBot (Add 1 book for verifiability (20240817)) #IABot (v2.0.9.5) (GreenC bot)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Nenda kwa urambazaji Nenda kwa kutafuta
Faili:Image-Al-Kitāb al-muḫtaṣar fī ḥisāb al-ğabr wa-l-muqābala.jpg
Ukurasa wa kitabu al-Kitāb al-muḫtaṣar fī ḥisāb al-ğabr wa-l-muqābala cha Al-Khwārizmī.

Aljebra (kutoka katika Kiarabu "al-jabr", inamaanisha "muungano wa sehemu zilizovunjika") ni tawi mojawapo la hisabati pamoja na nadharia ya namba, jiometri na uchambuzi.

Sifa maalumu ya aljebra ni kwamba inatumia ishara kutatua matatizo ya hisabati, kwa mfano kupiga hesabu hata kama namba fulani ndani yake haijulikani.

Katika muundo wake wa kiujumla, aljebra ni somo la ishara za kihisabati na sheria za kuendesha ishara hizo; ni uzi unaounganisha karibu matawi yote ya hisabati. Inajumuisha kila kitu kutoka kwenye misingi ya kutatua milinganyo.

  • Mfano mmoja ni mlinganyo ufuatao ambapo x ni kutofautiana:
7x+94x+2=2


7x+9=8x+4


94=8x7x


x=5

Marejeo

Viungo vya nje

Kigezo:Lango

Kigezo:Mbegu-sayansi