Uhakiki wa Ptolemaio

Kutoka testwiki
Pitio kulingana na tarehe 15:39, 11 Machi 2013 na imported>Legobot (Bot: Migrating 26 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q459547 (translate me))
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Nenda kwa urambazaji Nenda kwa kutafuta

Uhakiki wa Ptolemaio ni sentensi ya jiometria juu ya uhusiano kati ya pande nne za pembenne na ulalo zake kama kona za pembenne hulala juu ya duara.

Imepewa jina kufuatana na mwanahisabati Mgiriki-Mmisri Klaudio Ptolemaio.

ACBD=ABCD+BCAD

Kurasa zinazohusiana