Ulalo
Nenda kwa urambazaji
Nenda kwa kutafuta

Ulalo (pia:hanamu) ni mstari unaounganisha pembe mkabala za pembenyingi yenye pembe nne au zaidi kama mstatili, pembetano n.k.
Idadi ya lalo ni ambamo "n" ni idadi ya pembe za pembenyingi. Kigezo:Mbegu-sayansi