Theluthi

Kutoka testwiki
Pitio kulingana na tarehe 00:27, 6 Aprili 2024 na imported>Kisare
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Nenda kwa urambazaji Nenda kwa kutafuta
Theluthi moja

Theluthi (kutoka neno la Kiarabu ثلث thulth; pia thuluthi) ni namba wiano inayotaja sehemu ya tatu ya jumla fulani. Theluthi tatu zinafanya 1.

Inaweza kuandikwa kama 13 au 1/3.

Kama desimali inakaribia 0.33333333333.

Inalingana na takriban 33.33%.

Hesabu: (1 ⁄ 3) · ((100 ⁄ 3) ⁄ (100 ⁄ 3)) = (100 ⁄ 3) ⁄ 100 ≈ 33.33 ⁄ 100 ≈ asilimia 33.33.

Kigezo:Mbegu-hisabati