Theluthi
Nenda kwa urambazaji
Nenda kwa kutafuta

Theluthi (kutoka neno la Kiarabu ثلث thulth; pia thuluthi) ni namba wiano inayotaja sehemu ya tatu ya jumla fulani. Theluthi tatu zinafanya 1.
Inaweza kuandikwa kama au 1/3.
Kama desimali inakaribia 0.33333333333.
Inalingana na takriban 33.33%.
Hesabu: (1 ⁄ 3) · ((100 ⁄ 3) ⁄ (100 ⁄ 3)) = (100 ⁄ 3) ⁄ 100 ≈ 33.33 ⁄ 100 ≈ asilimia 33.33.