Ulalo

Kutoka testwiki
Pitio kulingana na tarehe 05:34, 6 Mei 2015 na imported>Kipala
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Nenda kwa urambazaji Nenda kwa kutafuta
Ulalo mbili za mstatili (nyekundu)

Ulalo (pia:hanamu) ni mstari unaounganisha pembe mkabala za pembenyingi yenye pembe nne au zaidi kama mstatili, pembetano n.k.

Idadi ya lalo ni n(n3)2 ambamo "n" ni idadi ya pembe za pembenyingi. Kigezo:Mbegu-sayansi