Kisobadilika
Kihisabati, kisobadilika ni namba ambayo thamani yake haibadiliki.[1] Namba kama 1, 2, 3, n.k. ni visobadilika, lakini vinaweza kuchukua thamani zisizofahamika. Kwa mfano, fikiria mlinganyo wa husisho mstari:
Hapa, Kigezo:Mvar ni kigeugeu, namba ambayo thamani yake siyo thabiti. Namba Kigezo:Mvar na Kigezo:Mvar ni visobadilika; thamani zake ndizo thabiti hata zisipofahamika. Kisobadilika chenye thamani isiyofahamika mara nyingi huitwa kizigeu.