Mlinganyo tenguo

Kutoka testwiki
Nenda kwa urambazaji Nenda kwa kutafuta

Mlinganyo tenguo ni aina ya mlinganyo ambayo yanalinganishwa mabadiliko mawili yanayotokea kwa wakati mmoja. Lengo ni kuona jinsi badiliko moja linavyosababisha au kuathiri badiliko la pili.

Milinganyo ya namna hiyo ilitegemea Historia ya kalkulasi kwa juhudi za Isaac Newton[1] na Gottfried Leibniz.

Isaac Newton aliorodhesha aina tatu:

dydx=f(x)dydx=f(x,y)x1yx1+x2yx2=y

Programu tete

Tanbihi

Kigezo:Reflist

Viungo vya nje

Kigezo:Wikiquote Kigezo:Wikibooks Kigezo:Wikiversity

Kigezo:Mbegu-hisabati

  1. In Chapter 2 of his 1671 work Methodus fluxionum et Serierum Infinitarum,Newton, Isaac. (c.1671). Methodus Fluxionum et Serierum Infinitarum (The Method of Fluxions and Infinite Series), published in 1736 [Opuscula, 1744, Vol. I. p. 66].
  2. https://www.maplesoft.com/support/help/Maple/view.aspx?path=dsolve
  3. http://doc.sagemath.org/html/en/tutorial/tour_algebra.html
  4. http://www-fourier.ujf-grenoble.fr/~parisse/giac/cascmd_en.pdf