Nusukipenyo

Kutoka testwiki
Nenda kwa urambazaji Nenda kwa kutafuta
Duara na nusukipenyo (rediasi).

Nusukipenyo au rediasi ni mstari unaonyoka kati ya kitovu cha duara na mzingo wake. Ni nusu ya urefu wa kipenyo.

Uhusiano kati ya mzingo na rediasi ni r=m2π

Viungo vya nje

Kigezo:Mbegu-hisabati