Thumuni
Nenda kwa urambazaji
Nenda kwa kutafuta
Thumuni au thumni (kutoka neno la Kiarabu) ni namba wiano inayotaja sehemu ya nane ya jumla fulani. Thumuni nane zinafanya 1.
Inaweza kuandikwa kama au 1/8.
Kama desimali inaandikwa 0.125.
Inalingana na 12.5%.
Zamani ilikuwa pia jina la sarafu ya senti hamsini katika Afrika Mashariki ya Kiingereza.