Mjao
Mjao (kwa Kiingereza volume) unaeleza ukubwa wa gimba la hisabati (mchemraba, tufe, mcheduara) kwa kupima nafasi ya yaliyomo yake.
Hupimwa katika vizio vya ujazo kama mita ujazo (m³) au sentimita ujazo (cm³).
Kila gimba lenye urefu, upana na kimo huwa na mjao.
Alama yake ni V.
Hali halisi ni kwamba nje ya hisabati kuna njia mbili za kuangalia mjao wa gimba:
- ujazo wa nje kwa jumla (kwa mfano kama kitu kinazamwa katika kiowevu kinasukuma kiasi gani cha kiowevu hiki?)
- ujazo wa ndani (kwa mfano yaliyomo ya boksi au tangi)
Mifano ya kukadiria mjao wa magimba kadhaa
Kadirio ya mjao ni Urefu x Upana x Kimo.
mchemraba mwenye urefu wa ukingo "a":
mchemstatili mwenye urefu wa kingo "a", "b" na "c":