Chamkano

Kutoka testwiki
Nenda kwa urambazaji Nenda kwa kutafuta
Machamkano ya nusu na robo kwa mfano wa keki

Chamkano (ing. Kigezo:Wayback fraction) ni namna ya kutaja sehemu sawa za jumla fulani katika lugha ya hisabati.

Mifano ya machamkano katika maisha ya kawaida ni nusu, theluthi, robo. Tunaweza kutaja theluthi mbili, robo mbili ambayo ni sawa na nusu au robo tatu.

Chamkano huandikwa kwa tarakimu ya kuhesabu inayoandikwa juu ya mstari na tarakimu za kutaja idadi ya sehemu zinazoandikwa chini ya mstari:

  • 12 au 1/2 = nusu moja
  • 34 au 3/4 = robo tatu
  • 173 au 17/3 = kumi na saba theluthi
  • 1012 au 10/12 = kumi za kumi na mbili