Kigeu
Nenda kwa urambazaji
Nenda kwa kutafuta
Katika hisabati, kigeu ni namba ambayo thamani yake inageuka katika husisho.[1] Kwa mfano, fikiria husisho hili:
Namba Kigezo:Mvar ni kigeu cha husisho Kigezo:Mvar. Namba Kigezo:Mvar na Kigezo:Mvar ni visobadilika (na pia vizigeu); thamani zake hazijafahamika lakini hazibadiliki katika husisho.